sheria mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  2. Pendekezo la Sheria Mpya upigaji Penati

    Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA. Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati zitakazo patikana ndani ya dakika za mchezo kuwa Kama zile za Matuta Yani unapiga Mara moja ukikosa au...
  3. Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

    Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela Lakini pia ni marufuku...
  4. M

    Pre GE2025 Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi 2025

    Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:- 1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi. 2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
  5. M

    Pre GE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  6. Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  7. Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  8. Huenda si tetesi tena, tutarajie sheria mpya za uchaguzi zenye lengo la kumlinda mtu wao

    Tutarajie kutangaziwa sheria mpya za uchaguzi, sheria hizo zitatumika wakati wa kampeni ili kuwalinda wasioweza kupambana jukwaani. Kulikoni uchaguzi ujao utungiwe sheria mpya, ni nani anatakiwa kulindwa wakati wote ni wanasiasa waliobobea na ni wagombea wa nafasi ya juu kabisa ambapo sisi...
  9. M

    Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  10. Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  11. M

    Seneti ya UDSM mliliangalia jambo hili wakati wa kupitisha sheria mpya?

    Nimeona andiko moja linalohusu Senate Meeting Held on 6th May 2024. Hili linazungumzia Ada kwa wanafunzi wanaochelewa kumaliza masomo yao kwa wakati. Ada imepanda badala ya 50,000/month za mwanzo hadi malipo ya semester 1 kwa mwanafunzi. Andiko hilo limesainiwa na Boneventure Rutinwa. JE, HIZI...
  12. Sheria mpya ligi kuu 2024/25 Uingereza hizi hapa , kapteni tu ataruhusiwa kuongea na ma referees

    Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced but won't start until AFTER the international break in September, October or even November. ➡️ Only...
  13. Uganda: Sheria mpya kuwataka Walimu kuwa na leseni ya kufundisha, na walimu wa ngazi zote kuwa na shahada ya kwanza kama sifa ya chini

    Wizara ya Elimu nchini Uganda imewasilisha Muswada wa Taifa wa Walimu wa 2024 Bungeni, ambapo Waziri wa Nchi wa Elimu ya Juu, John Chrysostom Muyingo, ameeleza kuwa muswada huo unalenga kuboresha viwango vya ufundishaji nchini humo. Kulingana na Wizara ya Elimu na Michezo, sheria hiyo...
  14. R

    Wakulima wa miwa Kilombero wampongeza Bashe sheria mpya ya sukari

    Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamempongeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa uamuzi wake wa kubadilisha sheria ya sukari mwaka 2024 kwamba itawaletea manufaa makubwa na wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu kilimo cha miwa na...
  15. Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  16. S

    Kutegemea Katiba Mpya bora chini ya CCM iliyoko madarakani ni sawa na kusema Yanga wasimamie kutungwa sheria mpya za Ligi Kuu baada ya kuwa mabingwa!

    Tusijidanganye. CCM hawana nia ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya inayotoa fursa bora katika utawala wa sheria nchini na ushindani sawa wa vyama vya siasa. Hilo halitakuja kutokea hata siku moja. Kutegemea hilo litatokea ni sawa tu na mashabiki na timu zao za Simba, Azam, Kagera, Mtibwa nk...
  17. Wadau: Tutasubiri upatikanaji wa sheria mpya za Habari Zanzibar mpaka lini?

    ZANZIBAR. WADAU wa vyombo vya habari wameiomba serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukamilisha mchakato wa marekebisho ya sheria za habari zilizotolewa maoni na wadau ili kutoa mazingira rafiki kwa waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Imeelezwa kwa muda mrefu licha ya wadau...
  18. SoC04 "Miti Yetu, Maisha Yetu: Sheria Mpya ya Upandaji Miti Kuleta Matumaini ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Kustawisha Vizazi Vijavyo"

    Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
  19. Wadau wa habari wahimiza kukamilika sheria mpya ya habari Zanzibar

    KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
  20. Pre GE2025 Maoni yangu kwenye Mkutano wa Vyama vya Siasa kuhusu Muswada wa Sheria Mpya ya Uchaguzi. Muswada sio batilifu, ni Muswada batili

    Wanabodi, Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao. Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM. Rais Samia alipoingia, nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki. Rais Samia alipounda Kikosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…