Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma ambaye pia ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva ‘MwanaFA’ ameipinga vikali sheria mpya iliyowekwa na BASATA. Sheria hiyo inamtaka msanii kupeleka kwanza nyimbo BASATA ikasikilizwe kabla ya kuipeleka kupigwa redioni.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...