Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga jana Oct 29, 2026 amefika Kijiji cha Lukonde, Kata ya Tomondo kusuluhisha mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na mwekezaji Prof.
Kuitishwa mkutano wa wananchi na Maafisa Ardhi ili kugawa ekari 500 za wananchi Viongozi wa kijiji wanao simamia sheria...