Ni habari gani sasa unaweza kuipokea mikono miwili kutoka Yanga? Nje ya nje uliyoishuhudia mwenyewe? Hii haijaanza leo, ila sikutegemea kama ingeendelea hadi leo.
Taasisi yeyote kuwa katika midomo ya watu ni jambo bora sana. Ni miaka mingi imepita sasa tuliaminishwa kuwa ' There is no such...
Salam.
Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi!
Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya Benki ya CRDB...
Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake
Namaanisha nini?
SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake...
Mwana Yanga SC Mwenge
Kama Designer Wetu aliishiwa Uzi si angesema tu tuliyonayo tumpe?
Mwana Yanga SC Ubungo
Huyu Designer Wetu na hivi ni Mchagga lazima tu atakuwa kabania Nyuzi na katumia Nyuzi kidogo ili zingine akauze na akajengee Kwao Moshi
Mwana Yanga SC Kawe
Huyu Designer Wetu kama...
Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari
Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
Sheria Ngowi na Theocabrini Pamoja na Team Yote Wametengeneza Jezi za YANGA Nzuri sana
Africa Hakuna Jezi Nzuri kama za YANGA Kwa Sasa
Kwenye Jezi inaonyesha Wananchi
Kwenye Jezi Inaonyesha YANGA Mabingwa Mara 27
Kwenye Jezi inaonyesha home of Champions
Wengi hawawezi kuelewa theme ya Jezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.