sheria taarifa binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kwanini kampuni za simu hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida?

    Mambo vp wadau? Kwanini "Telecom Companies" hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida? Kwanini ujumbe au tangazo ambalo lingewezekana kutumwa kwa njia ya sms ya kawaida linatumwa kwa njia ya flash SMS?? Hilo ndio swali langu.
Back
Top Bottom