Vi Wapi vyama vya kitaaluma?
Kuna sheria mbovu na ya ajabu inazunguka kwenye mitandao yetu hapa Tanzania Yaani HII ya mabadiliko ya sheria ya Usalama wa Taifa mi wapi wanasheria?
Yaani mswada unapendekeza Usalama wa Taifa wapewe Kinga Kwa makosa ya kijinai kweli?kweli kabisa Usalama wa Taifa...