Shemeji yangu alikuwa anaishi/amepanga kwenye nyumba za shirika la uma. Kutokana na matatizo ya kiuchumi alichelewesha kodi ya pango na hivyo shirika lile likamvunjia mkataba wa upangaji na kumpa siku 14 awe ameachia nyumba. Aliandika barua kuomba aongezewe muda michache na atalipa Kodi ama...