Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza amesema Serikali imekubali mapendekezo ya wabunge ya kuondoa ushuru ya Sh382 kwenye gesi inayotumika katika magari.
Amesema hayo leo Juni 27,2024 wakati akiwasilisha maoni ya kamati yake kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha ya Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.