Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.
Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi...