Wakuu,
Hapa juzi juzi tuliona Tigo imebadilisha jina kuwa Yas na kukawa na tetesi kuwa wanakwepa kodi.
Akijibu swali bungeni kuhusu makampuni yanayobadilisha majina ili kukwepa kodi Mwigulu amesema
"Kupitia sheria ya usimamizi wa kodi ya 238, serikali imeweka sharti kwamba mamalaka ya mapato...
Kama mtu umefanya biashara nchi hii utagundua kwamba aliyetunga sheria zingine za kodi hajawahi hata kuuza karanga.
Sheria za kodi na kanuni zake zimelalamikiwa kwa miaka nenda rudi, huku TRA wakisema hawahusiki na sheria hizo na wanawakandika wafanyabisahra kama zilivyoandikwa, liwalo naliwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.