UHURU wa kujieleza na uhuru wa imani ni mema. Lakini mapungufu yake yanaporuhusu maadili kukiukwa, hiyo sheria inatakiwa kurekebishwa.
Maadili yana aina nyingi.
_Maadili katika kusema,
_Maadili katika matendo,
_Maadili katika kuwaelekeza waumini cha kufanya.
_Maadili katika mwonekano wa nje...