Wakuu,
Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa.
Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa...
Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa, jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo
imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
Your Excellency,
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Raisi, Ninaamini umzima wa afya na unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa kadri Mwenyezimungu alivyokujaalia.
Mheshimiwa Raisi, hii itakuwa ni mara yangu ya pili kuzungumza na wewe kupitia maandiko haya ya...
KURUDISHA ZAWADI.
Kifungu cha 71 cha Sheria ya ndoa kinasema kuwa mtu anayo haki ya kufungua shauri kudai kurejeshewa zawadi ambazo alizitoa kwa mtu ambaye alikuwa ana ahadi ya kufunga naye ndoa lakini ndoa haikufungwa.
Zawadi ni pamoja na fedha, nyumba, magari, nguo na kila kitu chenye...
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya katika mtaa ninaoishi na hata maeneo mengine wanandoa wengi wanaishi bila kujua taratibu za kisheria.
Mfano unakuta Mwanaume huyu awali alikuwa na mke wake wakazaa watoto watatu huku wakiwa na mali walizochuma pamoja.
Lakini mwanaume anaamua kuhama na...
Hoja ya kubadilisha sheria ya ndoa, hasa kwenye vipengele vya ugawanyaji wa mali baada ya talaka, ni mjadala unaoweza kuibua hisia tofauti na mitazamo mingi. Katika jamii yetu, ndoa ni taasisi muhimu inayoheshimiwa na sheria zetu. Hata hivyo, pale ndoa inapovunjika, suala la ugawanyaji wa mali...
Mwaka huu 2024 utakua ni mwaka wa 5 tangu maamuzi ya mahakama ya rufaa ya kukazia hukumu iliyotolewa na mahakama kuu katika kesi iliyohusiana na umri wa binti kuolewa ambapo serikali ilitakiwa kurekebisha sheria hiyo ili wasichana wasiolewe kabla ya kufikisha miaka 18. Lakini mpka sasa, bado...
Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine.
AU huoi kabisa
Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa kwenye mjadala wa namna ya kudhibiti ndoa za utotoni ambazo bado zinashamiri katika baadhi ya maeneo hususani vijijini.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya 1971 ya Tanzania inatoa uhuru kwa msichana mwenye umri wa miaka 14 na mvulana mwenye miaka 18 kuolewa na kuoa...
Nafikiri Ni wakati muafaka wa kufanya amendment za Sheria ya ndoa ili kuweka wazi baadhi ya Mambo, mfano wanandoa kukubaliana namna ambayo Mali zitagawanywa au kutogawanywa Kama wakiitengana, kuwepo na kipengele Cha idadi ya wenza.
Dini zinaleta shida nyingi zaidi kwenye Mambo ya ndoa, kuwepo...
Binadamu wote ni lazima tupitie kifo ikiwa ndio mwisho wa maisha yetu hapa duniani. Wakati wa uhai mtu unaweza kumiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika mahali tofauti tofauti ndani au nje ya nchi ya Tanzania. Kuondoka kwako duniani kwa njia ya kifo hakufanyi mali zako zipotee kwa...
NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI)
Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo baadhi yetu ni matokeo ya ndoa za wazazi wetu na wengine tumepata matokeo ya ndoa zetu wenyewe...
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
TAMKO LA TAPO LA WANAWAKE NA WASICHANA KUHUSU MCHAKATO WA MABADILIKO YA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971
Ndoa za utotoni ni tatizo kubwa nchini Tanzania linalo sababisha wasichana kutotimiza ndoto zao hasa za kielimu. Ndoa hizi mara nyingi husababishwa na hali duni za kimaisha, mila na desturi...
WanaJF hasa wajuzi wa sheria ya ndoa nina jambo naomba kupata ufafanuzi.
Majuzi niliona cheti cha ndoa cha mme na mke waliofunga ndoa ya kikristo miaka kadhaa iliyopita.
Kwenye cheti niliona kuna sehemu kimeandikwa ndoa imefungwa kwa madhehebu ya kikristo lakini ile sehemu ambapo cheti...
Muhali gani waungwana.
Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala.
Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/
Vyeti vikaletwa
Mpaka vyeti kutoka nchi za...
Jambo wakuu!
Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa.
Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa kuolewa.
Profesa Kabudi alisema hayo Novemba 18,2021 alipoeleza mafanikio ya wizara yake...
SHERIA YA NDOA, SURA YA 29 KIFUNGU CHA 64(1), (2) and (3).
Sheria ya ndoa chini ya kifungu tajwa hapo juu inamruhusu mwanamke ambaye ameolewa katika ndoa halali inayotambulika kisheria, KUKOPA fedha kwa jina la mumewe, au kuibadilisha mali ya mumewe inayohamishika kuwa fedha na kuitumia katika...
Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula!
ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji!
Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo!
Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza!
Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.