Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.
Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali.
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata...
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata nusu ya mali yake na hatimaye kuwa tajiri baada ya talaka.
"Talaka imekuwa ni biashara yenye faida kubwa kwa wanawake nchini Marekani na nitaikomesha. Ikiwa mwanamke ataolewa na mwanamume tajiri, haimaanishi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.