sheria za kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo. Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
  2. MKWANO

    Watumishi wahamishwa bila malipo licha ya agizo rasmi, sheria inasemaje?

    Watumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi. Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita ofisini ili kila mmoja achague kituo cha kazi kwa maandishi. Hata hivyo, amezitumia barua za...
  3. A

    DOKEZO Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil zamani sasa Lake Energies, inafukuza wafanyakazi wake kiholela bila kufuata sheria za kazi

    Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil zamani sasa Lake Energies, inafukuza wafanyakazi wake kiholela bila kufuata sheria za kazi. Mtumishi anaondolewa kazini bila kupewa barua yoyote ile wala kulipwa Stahiki zake za msingi na hata mishahara ya mwezi husika aliokuwepo kazini. Ndani ya mwaka huu...
  4. amshapopo

    Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  5. S

    Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi. Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama...
  6. Mbunifu Mwaminifu

    Nahitaji msaada wa kisheria kwa mfanyakazi ambae mkataba wake umesitishwa bila notice ya mwezi mmoja lakini amelipwa mshahara wa mwezi mmoja zaidi

    Habari zenu wanajamvi. Naulizia ili kufahamu kwa niaba ya rafiki yangu. Rafiki yangu alikuwa ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa jijini Dar es Salaam na alikuwa akifanya kazi na hiyo kampuni kwa takriban miaka mitano. Kwa kawaida kampuni ambayo alikuwa akifanya nayo kazi ilikuwa inawapatia...
  7. K

    Likizo bila malipo. Je, sheria inaelekeza nini?

    Hivi sheria inatuongoza vipi katika upande Wa likizo bila malipo. kwani kampuni za tours pamoja na mahoteli upande Wa Zanzibar utoa likizo bila malipo kwa miezi 2 kwa kisingizio cha Corona. Wafanyakazi wengi hawafahamu sheria je inaelekeza nini kuhusu likizo bila malipo na serikali inaweza...
  8. Buswelu

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Mkataba wa ajira, kama ilivyo desturi kwa mikataba mingine kwa mujibu wa sheria, huzaliwa, huishi na kufa; kama ilivyo kwa binadamu na viumbe hai vingine. Unazaliwa mara baada ya mwajiriwa na mwajiri kutia saini zao. Hapo ndipo wanapouanzisha, utekelezaji wake unapoanza kuchukua hatua na kifo...
Back
Top Bottom