Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia.
Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa.
Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa.
Contradiction...
Wakuu.
Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza walikuwa wamekaa tu wanawaangalia bila kufanya lolote.
Soma pia: Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali...
Ndio maana ninakataa siku zote kwamba hizi sio dini ila ni utamaduni tu wa watu kwani kama ingelikuwa ni dini basi mambo ya kipumbavu kama haya yasingekuwepo. Endelea kusoma.👇
Wakristo wa kusini-magharibi mwa Arabia, na hasa katika Aden, mji wa bandari ulioko Yemen, wana historia yenye mizizi...
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi ni muumini wa dini ya Ukristo lakini nasema kutoka sakafu ya moyo wangu kuwa sheria za Kiislamu ndiyo suluhisho pekee na lakudumu la kupatikana kwa amani ya kudumu duniani kote.
Matatizo makubwa tunayopitia duniani yanatokana na kudharau matumizi ya sheria za...
Moyo wangu unajisukuma kuandika haya, kwa kuwa naona kesho.
Ndani ya muda mchache kuanzia sasa Baraza kuu la waislam wa BAKWATA litatoa tamko kuwa ni sahihi kwa walinzi wa Rais kuingia na kuchanganyika na wanawake.
Sababu kuu ikiwa ni Quran haijakataza kuchanganyika sawa na tofauti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.