sheria za tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je nikikana uraia wa Tanzania na kupewa uraia wa nchi nyengine mali zangu zitataifishwa?

    Habari zenu wataalam, Tunafahamu Serikali ya jamhuli ya muungano wa Tanzania haitambui uraia pacha. Kwa kesi ya namna hii mali za raia aliebadili uraia mali zake utafishwa. Naomba wabobezi wa sheria watufahamishe.
  2. Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  3. Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  4. Ni kweli hakuna aliye juu ya Sheria nchini?

    Nimeshasikia hivyo tokea nikiwa mdogo, lakini kama si sahihi kwa asilimia mia moja. Kwenye nchi hii, kuna watu ambao ni kama vile hawagusiki, haijalishi watakachofanya! Hapo siwaongelei viongozi, bali vigogo wanaoweza kuonekana kama vile wameiweka Serikali mfukoni. Kikatiba, Rais wa Tz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…