Na.Mwihava GF,Dodoma
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Sheusi Mbuli kwa niaba ya Katibu Mkuu, amewatakia Heri wanamichezo wanakwenda kushiriki michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) inayotarajiwa...