Mheshimiwa Waziri Juma Aweso, Wakazi wa Kinyerezi, hasa Wakazi ambao tupo karibu na mitambo ya kuzalishia umeme ya Kinyerezi; tunasikitika kukiarifu kuwa hatuna huduma ya maji safi kabisa, leo ikiwa ni siku ya 3 tangu DAWASA walipositisha kutupatia huduma hii. Cha kushangaza zaidi ni kwamba...