Wakuu,
Kama mnavyoona hapa, wananchi wanachimba na kuchota maji kwenye mto uliokauka. Eneo hili linadaiwa kuwa ni Chandama, Wilaya Chemba, Mkoa Dodoma
Video hii inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii.
Kada wa CHADEMA Martin Maranja Masese ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa...