shida ya maji mbulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ukosefu wa Maji kitongoji cha Nyangera, Mbulu inasababisha wananchi kufuata maji umbali mrefu kwa kutumia punda

    Katika nchi yetu kuna baadhi ya maeneo kupata huduma mbalimbali za msingi kama maji, umeme n k imekuwa kawaida sana, lakini hii hali imekuwa tofauti sana katika halmashauri ya Mbulu mji hasa maeneo baadhi ya vitongoji hasa kitongoji cha Nyangera Kijiji Cha Jaranjar, na watu wanachota kwa kutumia...
Back
Top Bottom