shida ya maji ubungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Riskytaker

    KERO Waziri Juma Aweso atoke hadharani na kusema kwanini Ubungo mpaka Kimara maji ni shida

    Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi wa pili huu. Ukicheki Leo 2024 Bado maji ni shida Ila Waziri yupo naibu wake yupo wanachofanya ni...
  2. A

    KERO Shida ya upatikani wa Maji eneo la Ubungo Kibangu na maeneo ya Karibu

    Habari wanafamilia wa JF, Niende moja kwa moja kwenye hoja: Kumekuwa na shida ya makusudi ya upatikani wa Maji katika eneo la Ubungo Kibangu na maeneo jirani kama Riverside. Hapo awali maji yalikuwa yakitoka Kwa wiki mara mbili, baadaye ikawa yanatoka siku moja kwa wiki kati ya Ijumaa hadi...
Back
Top Bottom