Siku hizi kumekuwa na shida sana ya mitandao ya simu na inaleta kero na hasara kubwa sana kwa sisi watumiaji. Hasa mtandao wa Vodacom unakuta huwezi kupiga simu wala kutuma meseji.
Sasa najiuliza hizi hasara tunazopata wateja watafidia vipi?! Na vile vifurushi tunavyojiunga na baadae kukuta...
Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida.
Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa mifumo ya kizaman Dunia sasaiv ipo kwenye tehama
Mnawakatisha tamaa wanajiuliza kama website rasmi ya...
Watumiaji wa X (Twitter) mliopo JF, naomba kujua X kwenye vifaa vyenu mnaipata bila matatizo? Kwenye simu yangu tokea mchana wa leo X haifunguki: kwenye app na web.
Nimejaribu kutumia Proxy Server (United States) kwenye web imefunguka, nikajaribu tena kwa mtandao wa ISP (Halotel) haifunguki.
Wakuu,
Hali ya mtandao imekuwa ya kususua tunaenda karibia wiki ya tatu sasa. Ni shida kuingia katika baadhi ya sites kiasi kwamba inabidi utumie vipi.
Pia soma: Historia ni mwalimu mzuri, msiseme sikuwaambia!
Wale ambao kazi zetu zinategemea uwepo wa mtandao kwa sehemu kubwa zinaathirika...
digital rights
freedom of expression
haki ya kidigitali
haki ya taarifa
hali yamtandaomtandaomtandao tanzania
shidayamtandao
ukosefu wa mtandao
upatikanaji wa mtandao
Wakuu,
Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine.
Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
Tunakabiliwa na shida ya mtandao wa mawasiliano, yaani ukitaka kupiga simu lazima uende kitongoji kingine mbali ya kwamba tuna zahanati ya kijiji, wananchi waliojiunga na bima hawana faida au hawafaidiki na bima hizo pindi wanapoenda kutibiwa tafadhali serikali inatusaidiaje katika hili.
Tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.