Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha.
Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect way, tofauti yao na wale wa Ubungo...