shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    LGE2024 Anaandika Lyenda kutoka X: SHIDA ZA UCHAGUZI 2024

    LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024: Tunachukua fomu kwa SHIDA. Tunarejesha fomu kwa SHIDA. Tunateuliwa kwa SHIDA. Tunafanya kampeni kwa SHIDA. Tunapiga kura kwa SHIDA. Mawakala wanasimamia kura kwa SHIDA. Tunahesabu kura kwa SHIDA. Tunatangazwa kwa SHIDA. Yaani...
  2. Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

    Wakuu, Wanawake wa Kenya mnakwama wapi? Ni excitement au despration ya kuingia ndoani? Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
  3. Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma. Faustine kuwa...
  4. Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

    Ughonile.. Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda. Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa...
  5. LGE2024 Mwenyekiti UVCCM Mwanza: Hakuna siku nchi hii tutamaliza shida zote maana kila siku tunazidi kuongezeka

    Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha? Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
  6. Shida sio CHADEMA, wala Mbowe, shida kuu ni Taifa lilo jaa Raia waoga, wanao subilia kutetewa na kusemewa

    Kuna Raia wajinga sana Taifa hili, kutwa nzima utasikia ohoo Mbowe kanunuliwa, Mara Chadema haina mvuto tena mara sijui Lisu ikapanda ikashuka. Je Upinzani sio Ideology kwa Tanzania ila ni ideology kwa mataifa mengine? Kule Kenya kuna watu wanaendesha Movement na hawana vyama wala offisi...
  7. Kufukuzwa kwa Gamondi shida ilianzia kuibukia kwenye mkutano mkuu wa Yanga na kutangazwa akitokea Club kula Bata

    Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC. Soma...
  8. Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

    Jirani: Money penny njoo Money penny: Mekuja jirani nambie Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi Money penny: Du...
  9. Kuku kibudu aliyekufa akachinjwa ana shida gani?

    Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
  10. Nina mwanaume ambaye hata kale 'kamoja tu' huwa ni shida

    Kaka Magical power, nina mwanaume ambaye hata kale kamoja tu huwa ni shida inasimama vizuri tu ile tu unaishikashika sababu nimefundwa lazima niishe kwa mkono wangu ndipo niiweke ukiichezea tu unaona tayari kamalizia mkononi hata hajafanya kabisa na ikitokea hivyo basi anavaa analala. Huwa...
  11. M

    Huu mtindo wa Vijana wa Sasa Kutumia Uzee kukashifu watu , Nini shida

    Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano, 1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
  12. Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  13. Nimemkiliza huyu mwanasheria lakni ukweli sijaona shida yoyote ktk kuandika Mali zangu Kwa jina la mama.

    Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!. Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu. Shida ni mwanamke achukue Mali...
  14. T

    KERO Vilio shida maji: Wananchi Dar wadai kuona kwenye Tv Rais kumtua mama ndoo ila hawajui inatuliwa wapi

    Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina maji kulingana na uwingi wa simu zilizopigwa. Wapo walioenda mbali zaidi na kusema wamekuwa wakiona...
  15. Mchongo wa MRDT tests

    Habarini nina shida na MRDT tests mwenye nazo anicheki idadi yoyote nachukua hata zikiwa box 200! Check me 0672473087
  16. Wakati mwingine domo lako linaweza kuwa shida

    Wakati mwingine domo lako linaweza kuwa shida 😄 🤣 😂
  17. Hivi kukatika maji Dar ni shida iko au ni mradi wa mtu?

    Ni kama mwezi umepita tangu wakazi wa dar wametangaziwa kwamba sasa mradi wa kuboresha maji umekamilika. Matarajio ya watu bila shaka hapatakua tena na mgao. Lakini la kushangaza bado kuna mgao wa maji sehemu nyingi za jiji. Kila siku ya pili ninapoishi mimi maji asubuhi yanakatwa. Kwa uzoefu...
  18. Hakika: Tafuta raha, shida zinakuja zenyewe

    Kuishi kwingi ni kuona mengi Watoto na vijana wanaambiwa, nyinyi mna mbio, lakini sisi wazee twazijua njia Ni hivi mjukuu wangu, upatapo chochote kitu, mega sehemu ndogo jipe raha, kama wewe ni mzee wa pombe, jimiminie balimi zako baridi kabisa upate na mdudu laaana kidogo ukapumzike na mpenzi...
  19. D

    Shida ya nchi hii tuna wabunge vilaza wakiongozwa na spika. Eti spika anashadadia ajira za kunitolea. Hii ni failure ya serikali kabisa

    Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli. Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi. Halafu mobunge...
  20. Napata shida sana na watu wanaoweka Dissapearing Message kwenye whatsapp zao

    Kwa wanawake akiniwekea hivyo najua hana mwanaume mmoja yaani ana mambo mengi anafanya huko kwa simu yake na hataki abambwe kama yeye ni malaya, Kwa wanaume akiweka hivyo red flag ya kwanza ni tapeli, mzinzi, mhuni, mwizi Ongeza nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…