Shida za Dunia
Artist: Jose Chameleone
Released: 2006
Album: Kipepeo
Lyrics
Rafiki yangu alikuja nyumbani,
Kunielezea shida Fulani,
ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini,
Mke wake amemutoroka,
Rafiki zake wanamcheka,
shida amepata nyingi amechoka,
dunia anajuta.
Acha kulia, shida...