Habari za jioni Watanzania
Poleni na mihangaiko ya maisha
Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza
Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings?
Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana
Nin kifanyike?
Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu?
Kwanini Shilingi inadhidi kupoteza Thamani yake dhidi ya Dollar?
Labda tuseme uchumi unakuwa kwa maana hiyo hata Garama za...