Hello Wadau!!
Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa.
Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
Kabla sija anza kutoa unabii wangu najua WaPo watu watakao kuja na hoja kwamba Shillah hana vigezo Kwa kuitwa Nabii and blah blah blah .
Kama ulikuwa kwenye kundi la watu wanao fikiri kwamba Nabii Shillah hastahili kuitwa Nabii basi inawezekana wewe hujaisoma Biblia vizuri.
Ungekuwa umeisoma...
Siku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel Mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na ushahidi na watu aliowatapeli mamillion ya pesa kwa kupitia mwanvuli wa dini.
Hata hvyo Nabii shillah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.