shillah

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Billionaire Shillah anusurika kubakwa

    Hello Wadau!! Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa. Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
  2. Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

    Kabla sija anza kutoa unabii wangu najua WaPo watu watakao kuja na hoja kwamba Shillah hana vigezo Kwa kuitwa Nabii and blah blah blah . Kama ulikuwa kwenye kundi la watu wanao fikiri kwamba Nabii Shillah hastahili kuitwa Nabii basi inawezekana wewe hujaisoma Biblia vizuri. Ungekuwa umeisoma...
  3. Mbasha na Nabii Shillah ngoma nzito

    Siku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel Mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na ushahidi na watu aliowatapeli mamillion ya pesa kwa kupitia mwanvuli wa dini. Hata hvyo Nabii shillah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…