shilole

Zena Yusuf Mohammed (born 20 December 1987, in Tanzania), known by her stage name Shilole, is a Tanzanian musician and actress. She specializes in the R&B, Zouk and new generation Tanzania music popularly known as Bongo Fleva. Shilole is considered one of the top female artists in Tanzania; her works has been nominated 3 times in KTMA, Tanzania's top music awards. She has also recorded with a number of artists including Mr Camera (South Africa) and Selebobo (Nigeria). Shilole is considered as one of the most influential artist among her fans and is said to be the most loved female artist in Tanzania, the first female artist in Tanzania to clock 1 million followers in Instagram, Tanzania's most popular social network... Shilole is credited as one of the key figures in the popularization of Tanzania's new music genre Bongo Flava, as a career to upcoming female artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Shilole azindua mama lishe na Samia

    Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan. Soma Pia...
  2. Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

    Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024 Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar...
  3. M

    Kwani Shilole haoni aibu?

    Mi ningekua shilole ningeona aibu sana. Sijui niseme ni shilole au ni uyu kijana ila kuna mmoja wapo anaupungufu wa akili ndo mana kakosa aibu.
  4. M

    Baba Levo ataja watu waliomsaidia wakati hana kitu. Amtaja Nature na Shilole. Alifukuzwa kwa kudokoa chakula kwenye friji

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Mjasiriamali, mwanasiasa, mchekeshaji na muhamasishaji nchini maarufu Baba Levo ametaja waliomsaidia wakati hana kitu. Amesema kuna utitiri wa watu anaweza kuwashukuru kwa kumsaidia lakini atataja watano. Watu ni wengi nilikuwa nalala sinza kwa jamaa anaitwa K...
  5. Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

    "Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"- My take : Yawezekana...
  6. Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  7. Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  8. Maisha yanaenda kasi sana, Eti Shilole naye ana msanii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na kutosha vyombo kama kawaida hapo shishi food wakati huo huo atakuwa anaimba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aliponiacha hoi Sasa...
  9. Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

    Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule ya emperial kidato cha sita huku akisema ukifika katika shule hiyo unakuta bendera za mataifa mengi...
  10. Rais Samia amewateua Diamond na Shilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Malaria

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul Diamond Platnumz @diamondplatnumz na Msanii Zuwena Mohamed Shilole @officialshilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Kutokomeza Malaria. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu ametangaza uteuzi huo...
  11. Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

    Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki. Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja β€œv8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto. DOZEN SELECTION
  12. Serikali yaagiza eneo la Shishi Food livunjwe ndani ya siku 3 kutoka leo

    Mchana wa leo Januari 18, 2023, msanii na Mfanyabiashara Shilole amelazimika kulivunja eneo lake la Biashara la Shishi Food iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kupokea Barua ya Maelekezo kutoka Manispaa ya Wilaya ya Kinondoni iliyomuelekeza kuondoa biashara hiyo kwenye eneo iliyopo ndani...
  13. Utajiri wa Shilole wafikia Trilioni 3.9 TSH

    Tajiri wa roho, mjasiriamali na msanii Nguli Shishi baby amefikisha utajiri wa Wastani wa TSH. 3.9 Trilioni kupitia record label, endorsement na assets alizo nazo Dar, Dodoma,Venice, London, Paris na Dubai. Hongera Sana Mr & Mrs Rommy 3B. Source: Forbes Eastern and Southern Africa
  14. UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  15. Shilole amchana Alikiba

    NUKUU YA SHILOLE: Anandika shilole katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram. β€œHapana kila siku nakosewa nitaka kuongea washauri wangu wanasema nikae kimya. Hili nimekosewa siwezi kukaa kimya mnanionea officialikiba nakushukuru sana leo umeuthibitishia ulimwengu mambo yafuatayo ...
  16. Ndoa Ya Muuza Chakula (Shilole) na Mpiga Foto (Tommy D) Inakaribia Kuvunjika

    Wakuu Tazameni Hii Video Kati Ya Muuza Chakula na mpiga πŸ“· walivyozinguana Hadharani.
  17. Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

    Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma. Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri The same kwangu pia maana niliketi more than...
  18. Tafadhali Shilole usinunue Rolls Royce

    Tafadhali Shilole usinunue Rolls Royce Cullinan 2021 Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Natumaini wote mko poa mkiendelea vyema kulipia tozo za miamala. Hakika uzalendo hauepukiki. Leo nitaongelea jambo ambalo sikupenda kabisa kutia neno kwa sababu uzito wake ni mdogo sana kitaifa...
  19. Msanii wa muziki Shilole acheza utupu huko Ubelgiji na kuzua kizaazaa

    Salam ndugu wanaMMU, Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya kuanzia. Hii tabia ya dada zetu kucheza nusu uchi na wakati mwingine kucheza utupu, wengine...
  20. Kumbe Barnaba alimtema Shilole baada ya kumtwisha zigo la kumlelea watoto wake!

    Baada ya siku nyingi kupita tangu Shilole na Barnaba watemane, imebainika kuwepo kwa siri kubwa zilisababisha wawili hao watemane. Chanzo cha karibu na Barnaba kimedai kuwa sababu zilizosababisha wawili hao kutemana ni pale shilole alipodanganya umri wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…