Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽♀️😔.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu?
=====
Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
Wizi mwingine sasa ni kama wametumwa na waganga wa kienyeji! Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi kama si uchawi wote huo.
===================
Watu ambao hawajafahamika wamevamia nyumbani kwa mkazi wa Kibaha kwa Mfipa Mkoa wa Pwani, Melkisedeck Sostenes na kupora gari, pesa na vitu mbalimbali kisha...
Nani kwaeka mfumo huu wanasema WA kisasa WA shimo la Choo? Nimeona gharama NI nzuri sio kubwa kulinganisha na kuchimba lile la kizamani la kujenga na vipande vya tofali.
Je mfumo huu mpya Una changamoto zipi? Kwa ambao mnatumia mashimo ya aina hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.