shimo

Shimo-Shimmei Station (下神明駅, Shimo-shinmei-eki) is a train station in eastern Tokyo, Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
  2. K

    Mkombozi kwa wenye matatizo ya shimo la choo kuja baada ya muda mfupi.

    Mashine unayoiona hapo itakupa suluhisho lakudumu nautasahau kabisa kuhusu tatizo hilo. Kwa maelezo njoo inbox. 0743815045
  3. Ebu tazama ujenzi huu wa shimo la wastage. Jembaba kwa upana alafu refu zaidi mita 15 kwenda chini.

    https://youtube.com/shorts/uniqnNb37D8?si=tx3ZRU-dGCu6Bye_
  4. M

    DOKEZO Shimo linalojazwa taka ni hatari kwa Wakazi wa Vijibweni - Dar es Salaam, Viongozi wa Mtaa wanachukulia poa

    Katika mizunguko yangu, nilipita katika eneo la Kigamboni, Kata ya Vijibweni, Mtaa wa Mkwajuni ambapo nilikutana na shimo kubwa lililozungukwa na makazi ya watu, eneo hilo ambalo limejaa takataka, linafanana na jalala lililoachwa wazi. Kwa kuwa nilikuwa mgeni, nilidhani pengine ni sehemu...
  5. D

    SLAB ya shimo la choo

    Habari members, Naomba kufahamu kias Cha material ya kufunika choo (slab),. Nilishachimba SHIMO la square Kwa vipimo vya futi 5 Kwa 5 na kimo ni futi 12. Hapa naomba kujua nondo ni ngapi, kokoto ndoo ndogo ngapi, na siment mifuko mingapi? Na kama kunachochote kinahtajika naomba nifahamu ...
  6. Pre GE2025 Hatma ya Soka na wenzake waliotekwa ni shimo kwa CHADEMA?

    Machache lakini mazito Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi) Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya...
  7. N

    Ujenzi wa Shimo la kuhifadhia maji ya ujenzi

    Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea. Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7, naomba kufahamu Kwa ujazo huo je, inanipasa nichimbe shimo Kwa vipimo gani? (Yani nichimbe futi ngapi...
  8. Lijue shimo la mvuto(gravity hole) katikati ya bahari ya Hindi

    Shimo la mvuto liko katikati ya bahari kilomita 1,200 kusini-magharibi mwa Kanyakumari (a.k.a. Cape Comorin), ncha ya kusini kabisa ya bara Hindi karibu na Sri Lanka. Bahari ya Hindi Geoid Low (IOGL) ni hitilafu ya mvuto katika Bahari ya Hindi. Asili ya duara ya geoid iliyoko kusini mwa...
  9. Safari yangu ya Mji Mwema ikageuka kuwa ya mateso

    Habari zenu humu ngoja Leo niwape kastory kafupi Nakumbuka nikiwa naishi maisha ya homeless siku hiyo nikiwa pale kigamboni kwenye boti za uvuvi, upande wa chuo cha mwalimu Nyerere memorial Muda wa saa 9 jioni nikachukua baiskel yangu na kuamua kwenda kutembea Mji mwema Nikafika na kuanza...
  10. S

    BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

    Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao. Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho? Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya...
  11. Kuhonga ni sawa na kutupa fedha ndani ya shimo refu lenye giza, utapoteza zaidi na zaidi

    Kuna shimo moja liko katika kijiji kimoja mkoani Lindi ambalo sio man made ila ni shimo ambalo hakuna mtu amewahi kuingia. Ni giza tupu, inasemekana ndilo Wajurumani walilitumia kuwatumbukiza watu waliokuwa wasumbufu kwenye utawala wao. Ni shimo refu sana kiasi kwamba hata anayekutumbukiza...
  12. Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  13. Sensa ilipoanza niliulizwa nyumba ina choo cha kuvuta au cha shimo, leo wamekuja kuona kama nyumba ipo na ni ya aina gani?!

    Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
  14. S

    Naomba kujuzwa gharama za shimo la Choo

    Poleni na majukumu wa JF! Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
  15. S

    Kwa nini naona Watanzania Bara tumenufaika sana na Muungano zaidi sana wa Wazanzibar - wametuokoa mara mbili kutoka shimo lenye giza nene!

    Mimi ni Mtanzania bara. Nimetafakari sana juu ya kile watu wa Tanzania bara wanaita kero za Muunganom au kupendelewa kwa Wazanzibar katika muungano. Utaona kwamba ni mambo madogodogo sana, vitu kama fedha za misaada sijui, Wazanzibar kuwekeza bara na kununua ardhi tofauti na watu wa bara...
  16. Atuhumiwa kuua mke na kumzika, juu ya shimo apanda mpunga

    Mkazi wa Tandahimba mkoani Mtwara, Shaibu Kauselela anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua mkewe na kitu Kizito kinachodhaniwa kuwa na ncha kali na baadaye kumzika kwenye shamba na kupanda mpunga ili kupoteza ushahidi. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo, Kaimu Kamanda wa...
  17. Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

    Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha. Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa akimgharamia kila mahitaji yake yote, alimnunulia gari, viwanja ila mwishowe Nadine...
  18. Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

    Poleni na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na manung'uniko yanayoendelea kuhusu makenikia. Husika na kichwa cha habari hapo juu tangu napata akili hadi sasa kumekuwa na maneno kuhusu mlima Kilimanjaro kuwa pale juu kileleni kuna shimo refu sana na inavyosemekana ndani ya shimo kuna maji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…