shingoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gaidi lamvamia mzee na kumuua kwa kumchoma visu shingoni

    Wakuu, Polisi wamesema shambulio hilo lilitokea katika kituo cha basi na treni siku ya Jumatatu, ambapo "mshukiwa alidungwa risasi na mlinzi wa usalama na raia aliyekuwepo eneo hilo." Taarifa ya Magen David Adom imethibitisha kifo cha mwanaume wa takriban miaka 70 na kujeruhiwa kwa watu wanne...
  2. Ayatollah Khamenei maji yamemfika shingoni. Aomba liundwe jeshi la mataifa mbalimbali kupambana na Israel

    Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
  3. Kwanini wanyama na binadamu uwa watulivu wanapong'atwa au kushikwa shingoni?

    Kukamatwa au kung’atwa shingoni kunaweza kusababisha utulivu kwa wanyama, na hata kwa binadamu, kutokana na sababu kadhaa za kisaikolojia na kisaikolojia: 1. Kusisimuliwa kwa mshipa wa fahamu (Neva) ya Vagus Neva ya vagus inapita kwenye shingo na ina jukumu muhimu katika mfumo wa...
  4. F

    Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

    Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu? Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona...
  5. Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

    Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba. Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
  6. Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    CCTV Crime News Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile. ................ Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa. Jina ni: Nilton César Silva Aguiar. .... Hapa aliingia Benki kama mlemavu ..... Hili hapa pigo...
  7. Picha: Waziri wa CCM akisakata kabumbu huku amevaa skafu shingoni.

  8. Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni

    Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni kabla ya kuzaliwa (nuchal cord), matatizo yanaweza kujumuisha shida ya kupumua, na kuzaa mtoto aliyekufa. Kamba ya kitovu inaweza kumzunguka mtoto kwa ulegevu (loose), na inaweza kumzunguka mtoto kisha ikamkaza (tight), na inaweza kumzunguka mtoto mara...
  9. Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

    Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai. Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
  10. Amchoma Kisu Mpenzi wake shingoni baada ya kutishia kumuacha

    David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana. Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
  11. Afisa Utumishi Igunga avamiwa, ajeruhiwa kwa panga shingoni

    Watu wasiojulikana wamemvamia na kumjeruhi kwa panga shingoni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Mussa Abdallah. Abdallah akiwa amejipumzisha nyumbani kwake Mtaa wa Mwayunge Kata ya Igunga mjini alipata mkasa huo baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Madiwani...
  12. R

    Maji yamenifika shingoni, naomba msaada wakuu

    Heshima kwa wakuu wote Mdogo wenu hali tete. Kijana wa kiume. Dira haisomi. Nipo Dar Wakuu kama kuna mtu ana kazi ya ulinzi, au kazi ya kusimamia lodge/guest yake popote nchini nipo tayari. Ni muaminifu, sidokoi cha mtu. Nina elimu ngazi ya diploma. Nina changamoto fulani za kiafya zimekua...
  13. Morani wanapagawa na bangili za shingoni

    Sopa mazee. Ipo hivi, mwanaume wakati anachagua mwanamke wa kumweka ndani kuna vitu huwa anathaminisha. Kuna baadhi ya wanaume huthaminisha ukubwa wa makalio, wengine umbo la miguu, wengine uwima wa matiti, na nakadhalika. Hali ipo hivyo hivyo kwa vijana wa kimasaai japo wao hawathaminishi...
  14. Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

    Habarini wadau na washauri wa JF Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemiss anaongezea. Tumeenda vizuri, tumeishi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…