shinikizo la damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kwisha

    Watu wengi wanasumbuliwa na white coat hypertension wakifikiri ni ni hypertension yenyewe

    White coat hypertension ni nini? White coat hypertension ni hali ambapo shinikizo la damu la mtu linapopimwa katika mazingira ya kliniki (kwa mfano, hospitalini au kwenye daktari) linakuwa juu kuliko linavyokuwa katika mazingira mengine ya kawaida. Hali hii hutokea kwa sababu ya wasiwasi...
  2. kwisha

    Ukweli kuhusu ugonjwa wa hypertension ( shinikizo la damu)

    Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida ) Uhatari wa ugonjwa huu upo...
  3. kwisha

    Naombeni elimu juu ya upima wa shinikizo la damu

    Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha Siku moja Nikapima na mimi Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye 151/77 Nakapima Tena mara ya pili likawa lipo kwenye 133/ 80 Sasa imekuwa tabia yangu ya kupima...
  4. M

    Kwanini asilimia kubwa ya Watu (kutoka Kilimanjaro ) wanasumbuliwa na kisukari na shinikizo la juu la damu?

    Salaam wakuu! Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu? NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana tatizo la kisukari au shinikizo la damu, ni vyema ukachukuwa tahadhali mapema kwa kubadili mwenendo wa...
  5. BARD AI

    Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu). Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha...
  6. Tukuza hospitality

    SoC03 Ugonjwa wa Shinikizo la Damu ni wa Wote Sasa, Tuwajibike Kuudhibiti

    Utangulizi Miaka ya nyuma, magonjwa mengi yasioambukiza yalitawala sana nchi zilizoendelea, magonjwa haya ni shinikinizo la juu la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya figo, na kadhalika; ambayo pia yaliwapata watu wenye umri mkubwa, yaani kuanzia miaka 60 na kuendeleza. Wakati huo, nchi nyingi...
  7. BARD AI

    NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  8. Dr Adinan

    𝐊𝐮𝐝𝐡𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚: 𝐉𝐞, 𝐧𝐢 𝐥𝐚𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐧𝐢𝐰𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐦𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚𝐧𝐢?

    Presha ni ugonjwa unaosababisha vifo na ulemavu wa kudumu. Unaweza kudhibiti presha na kuepuka madhara yake kama utachukua hatua stahiki mapema. Ila.... Ubaya wa ugonjwa huu ni kwamba presha inaweza kuwa juu kiwango cha kupasua mishipa ya damu kwenye ubongo na kusababisha kiharusi au magonjwa...
  9. J

    SoC02 Ujue ugonjwa wa shinikizo la damu

    UTANGULIZI Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa makubwa yanayosumbua afya za binadamu, Shinikizo la damu laweza kuwa tatizo liliotokana na madhara ya magojwa mengine ya mifumo ya mwili au laweza kuwa la asili(awali). SHINIKIZO LA DAMU MAANA Shinikizo la damu ni musukumo wa damu ulioko...
  10. Kurunzi

    Wenye Tatizo la Shinikizo la Damu (High & Low Blood Pressure) Tukutane hapa

    Habari wanajanvi, napenda kutumia fursa hii kuwasalimu, Moja kwa Moja niende kwenye Mada nimefungua uzi huu ili tupeane uzoefu wale ambao tunapbana na tatizo hili. Mimi ni muhanga wa tatizo hili shinikizo la juu la damu - Hypertension kwa zaidi ya mwaka sasa. Tatizo langu lilianza hivi, siku...
  11. JanguKamaJangu

    Dar: TMDA yakamata dawa ambazo hazijasajiliwa, zimo za Kutoa Mimba & za kuongeza Nguvu za Kiume

    MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki imekamata vifaa tiba na dawa ambazo hazijasajiliwa zenye thamani ya Sh. milioni 294.4. Bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia ukaguzi maalum, uliofanyika eneo la Mtaa wa Kitumbini katika Kata ya Mchafukoge katikati ya Jiji la Dar es Salaam...
Back
Top Bottom