Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amempongeza Dk Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika.
Dk Ndugulile ambaye ni Mbunge wa Kigamboni (CCM), jijini Dar es Salaam amechaguliwa jana...
Salam wana jukwaa.
Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya.
Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020.
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi
Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
Ugonjwa wa Malaria unaendelea kuathiri vibaya Afya na maisha ya watu duniani kote licha ya kuwa unazuilika na kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mtoto mmoja hufariki dunia kwa Malaria kila dakika mbili
Inakadiriwa kulikuwa na Visa vipya Milioni 241 vya Malaria na Vifo 627,000...
Maadhimisho ya Siku hii ni kila Aprili 7, na kwa mwaka 2022 yanabeba ujumbe usemao "Dunia Yetu, Afya Yetu"
Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa zaidi ya vifo Milioni 13 kote ulimwenguni kila mwaka vinatokana na sababu za kimazingira zinazoweza kuepukika
Hii ni pamoja na janga la...
Kuelekea Siku ya Usikivu Duniani (Machi 03, 2022), Shirika la Afya (WHO) limesema zaidi ya Watu Bilioni Moja ulimwenguni kote wapo katika hatari ya kupoteza uwezo wa kusikia kutokana na mazoea ya kusikiliza muziki kwa sauti kubwa, na kwa muda mrefu.
Imeelezwa kuwa, kupoteza usikivu kutokana na...
Shirika la afya ulimwenguni WHO limepata kibali cha kusambaza vifaa vya matibabu katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miezi sita, lakini uhaba wa mafuta bado unakwamisha zoezi hilo.
Mkurugenzi wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kwamba...
Siku ya Saratani huadhimishwa kila Februari 4. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mwaka 2021, takriban watu Milioni 20 walibainika kuwa na Saratani na wapatao Milioni 10 walipoteza maisha
Wataalamu wa WHO wanasema idadi hiyo itaendelea kuongezeka miaka inavyozidi kwenda, japokuwa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Visa Milioni 9.5 vimeripotiwa ulimwenguni Wiki iliyopita, ikiwa ni ongezeko la 71%.
Japokuwa Kirusi cha Omicron kimeonekana kutosababisha makali kama Delta, WHO imesema Kirusi hicho hakipaswi kuainishwa kama 'Hakina makali'.
Mkuu wa Shirika hilo, Dkt...
Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limesema leo kwamba athari inayotokana na aina mpya ya kirusi cha Omicron bado iko juu baada ya idadi ya maambukizo ya virusi vya corona kuongezeka kwa asilimia 11 kote duniani wiki iliyopita
Katika taarifa yake ya kila wiki kuhusu udhibiti na kuenea kwa virusi...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Chanjo dhidi ya COVID19 ambazo tayari zipo bado zinapaswa kuwalinda watu wanaopata maambukizi ya Kirusi cha Omicron, na hakuna dalili aina hiyo mpya inakataa Chanjo kuliko aina nyingine.
Dkt. Mike Ryan amesema chanjo zina ufanisi mkubwa, na zimethibitisha...
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa aina mpya ya kirusi cha corona Omicron c ina hatari kubwa ya maambukizo kuongezeka kote ulimwenguni.
Aina hiyo inaweza kusababisha athari mbaya katika baadhi ya maeneo ya dunia , WHO ilisema Jumatatu.
Mkuu wa shirika hilo, Dk Tedros Adhanom...
Shirika la afya duniani WHO, limesema idadi ya wavutaji sigara duniani imepungua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. WHO imezitaka nchi kuongeza hatua zaidi za udhibiti wa kukomesha uraibu wa Tumbaku.
Katika ripoti iliyotolewa leo, WHO inasema kwa mwaka 2020 watu bilioni 1.30 walikuwa...
Maafisa wa Afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamethibitisha Visa vipya nane vya Ebola katika Jimbo la Kivu Kaskazini, ikiashiria Mlipuko mpya katika Taifa hilo
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ya Visa hivyo, waliofariki dunia ni sita. Mlipuko uliopita ambao uligharimu...
Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS).
Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Timu yake mpya iliyoundwa kubaini asili ya Virusi vya Corona linaweza kuwa fursa ya mwisho kupata majibu hayo, huku ikisisitiza China kutoa Data za Visa vya mwanzo
Mapema mwaka huu timu iliyoongozwa na WHO kwa kushirikiana na Wanasayansi wa China ilisema...
Uingereza imefanikiwa kutengeneza chanjo ya Malaria ugonjwa unaosumbua sana Afrika.
Majaribio ya Chanjo hii yalifanyika katika nchi tatu za Ghana, Kenya na Malawi ambapo watoto zaidi ya 800,000 wamechanjwa.
Chanjo hii imelengwa maalumu kwa ajili ya Afrika hivyo nchi zote barani humo zitapatiwa...
Shirika la Afya Duniani, WHO leo limeimarisha miongozo yake ya ubora wa hewa, likisema uchafuzi wa hewa kwa sasa ni moja ya kitisho kikubwa cha kimazingira kwa afya ya mwanadamu.
Shirika hilo limesema uchafuzi wa hewa unasababisha vifo milioni saba kwa mwaka na kwamba hatua za haraka zinapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.