Rais Donald J. Trump ametia saini agizo la kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO) 20 Januari 2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake
Uamuzi huu umezua mjadala na wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa Afya duniani.
Rais Donald Trump alitaja sababu kadhaa za Marekani...
https://www.youtube.com/watch?v=TUrJvSaBNEQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.
Soma pia: Wizara ya Afya...
Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa.
Pia soma: Dkt...
Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika.
Katika Uchaguzi uliofanyika leo jijini Brazzaville nchini Congo, wajumbe 25 kati ya 46 wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO...
Mkutano wa Afya wa 74 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoendelea Brazzaville, Congo leo Jumanne, Agosti 27, 2024 unatarajiwa kumpitisha Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika ambapo miongoni mwa wagombea watano Tanzania inawakilishwa na Dk Faustine Ndugulile.
Wagombea wengine ni pamoja na Dk Boureima...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha ongezeko la 160% Homa hiyo ikilinganishwa na 2023.
Takwimu zimeonesha tangu Januari 2024 hadi Julai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.