Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba...
Washington, DC - Novemba 3, 2023: Wafanyakazi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) wakiongozwa na Charalambos Tsangarides, ambaye ni mkuu wa ujumbe wa IMF kwa Tanzania, walifanya mikutano Dodoma na Dar es Salaam kuanzia Oktoba 23 hadi Novemba 3, 2023, ili kujadili maendeleo ya mageuzi na...
Kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia, 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa kiuchumi.
Hii inatokana na vichocheo vikuu vya ukuaji wa uchumi kimataifa yaani Marekani, Ulaya na China, zinakabiliwa na kudhoofu amesema mkuu wa shirika la kimataifa la fedha (IMF) Jumapili.
Mwaka mpya utakuwa mgumu zaidi...
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.
Taarifa...
Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema.
Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za Serikali ila alikuwa anasisitiza ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali.
Bwana Ndugai amesema mwishoni...
Mkuu wa Shirika la Fedha (IMF) Kristalina Georgieva ameonya kuwa Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na janga la Virusi vya Corona
Amesema kikwazo kikubwa ni mgawanyo wa Chanjo kati ya Mataifa tajiri na masikini, na kwamba katika miaka 5 ijayo Uchumi unaweza kuathiriwa kwa kiasi kikubwa ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.