South Sudan, ripoti ikionyesha uchumi wao utakuwa kwa 27.2% kufikia 2025, japo katika 2024 inflation yao ni 120%
Libya, wikitarajiwa uchumi kukua kwa 13.7%, inflation iko 2.4%
Senegal, uchumi kukua kwa 9.3%, infation iko 1.5%
Sudan wao uchumi utakua kwa 8.3% kufikia 2025
Uganda wanaenda kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.