Mamlaka nchini Niger zimeliamuru shirika la msalaba mwekundu kusimamisha shughuli zake nchini humo na kufunga ofisi zake mara moja .Vilevile, Niger imevunja mikataba iliyoruhusu shirika hilo kuendesha shughuli zake nchini Niger.
Baada ya kupokea amri hiyo kutoka serikalini, ofisi zote za...
Watoa huduma hao wanaofanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) wametekwa wakati wakiwa barabarani Kaskazini Mashariki mwa Miji ya Gao na Kidal.
Mali imekuwa na changamoto ya usalama tangu Mwaka 2012, matukio ya utekaji na kisha watekaji kutaka fedha ni ya kawaida kutokea...