WASALAAM,
Napenda kumpongeza meneja wa NHC urafiki kilipokuwa kiwanda cha nguo zamani cha kanga.
anafanya kazi nzuri sana ya kurekebisha miundo mbinu na kukarabati majengo ya flats za urafiki.
Maoni ya wakazi na wafanya biashara wengi ni PLAN ya vibanda vimezagaa vikawa uchafu eneo lile...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kuonyesha ubora wake katika usimamizi wa fedha baada ya kutunukiwa tuzo ya mshindi wa tatu wa Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Mashirika ya Umma kwa kufuata viwango vya kimataifa vya uandaaji wa hesabu (International Financial Reporting Standards - IFRS)...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC), Mwanaisha Ali Said, na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili. Kwa pamoja walisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Shirika la Nyumba La Zanzibar (ZHC) yenye lengo la kuwawezesha Wafanyakazi na...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi.
Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya.
Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
Habari wa JF
Poleni na majukumu
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man.
Asante kwa kufahamishwa...
Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine
Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021
Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Visiwani humo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.