Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Abdallah Chaurembo amesema Shirika la Posta kwasasa linadaiwa TSh. Bilioni 54.7 hivyo kushindwa kujiendeleza na pia shirika limeshindwa kukopesheka, tuimbe sana serikali kama ripoti yetu ilivyoeleza tunaomba serikali ilichukue deni hili ili shirika hili la posta sasa...
Historia ya Shirika la Posta Tanzania
Huduma za Posta kama taasisi zilianzishwa nchini na Serikali ya kikoloni ya Ujerumani. Huduma ya kwanza ya barua iliyobandikwa stempu ilianzishwa hapa nchini mwaka 1893.
Mara baada ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Desemba 1961, huduma za Posta ziliendelea...
TAARIFA KWA UMMA
Kwa mujibu wa Kifungu cha 5(1) kikisomwa pamoja na jedwali la Sheria ya Shirika la Posta ya Mwaka 1993 Kipengele cha 1(1)(b) pamoja na Tamko la Waziri Na. 845 lililochapishwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe 15 Novemba, 2019 vinampa Mamlaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
Kwanza, tafadhali isome barua hii kwa niaba ya watanzania wote wanaotumaini katika ukuaji wa sekta ya posta nchini.
Tarehe: 2Sept2024
Kwa:
Bw. Macrice Daniel Mbodo
Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania (TPC)
Mada: Pongezi na Ushauri kwa Nafasi ya Ukuu wa Posta Tanzania
Ndugu Bw. Mbodo...
Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-.
Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania.
Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
Umefika wakati sasa, shughuli zote za uagizaji wa vifurushi na mizigo zikafanywa na shirika letu la Posta, pekee, pamoja na makampuni ambayo yatakuwa yamesajiliwa rasmi nchini Tanzania katika kusaidiana na shirika hilo kwa vibali maalumu,
- Umuhimu wa suala hili ni kwamba serekali yetu tukufu...
Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuimarisha Mashirika yake matatu, TRC, Air Tanzania, POSTA, Wananchi tunasubiri TTCL na BRT.
Hongera sana Serikali ya Tanzania kwa kufanikiwa kurejesha heshima ya nchi iliyokuwa imepotea kwa muda mrefu mmejitahidi sana.
Miakaka ya nyuma hatukuwa na...
Ni muda sasa Posta Kawe ni kama haifunguliwi kabisa shida ni nini. MD Ndg Mabeans Chande tafadhali shughulikia hili au toa tamko.
Posta ni kiuongo muhimu sana katika ulimwengu wa biashara na kampuni barua muhimu, alerts n.k zinatumwa kupitia sanduku la posta.
Au mharakishe yale mambo ya...
Kuna mazingira ambayo hayaeleweki katika shirika la Posta hapa Dar es salaam.Kutokana na maendeleo yaliyopo sasa hivi ya kiteknolojia, Kuna bidhaa ambazo tunanunua kwa njia ya mitandao kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Baada ya kukamolisha taratibu zote za kimalipo,bidhaa inatumwa huko...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu, maofisa watatu wa ulinzi wa Shirika la Posta Tanzania, wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na bangi.
Maofisa hao ni George Mwamgabe, Sima Ngaiza na dereva wa Shirika hilo Abdulrahman Msimu.
Washtakiwa...
♦️ Akabidhi Vyeti na Tuzo za Pongezi kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta walioshiriki kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Ujumbe kwenye Mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (CA &POC).
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi...
Pamoja na kazi nzuri ya Serikali ya kuboresha uchumi na miundombinu,
Nafikiri ipo haja sasa ya kuja na mpango mkakati wa kufufua shirika letu la posta kwani lina uwekezaji mkubwa wa miundo mbinu karibu Nchi nzima wa Mabilioni iliyojengwa kwa kodi za wananchi
Kwanini tusije na mpango mkakati na...
Habarini wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Juzi Ijumaa nilikuwa nataka kutuma Doc moja Mkoani ila kwa kuwa na confidential sana nikaona nisitume kwa basi kama ninavofanyaga mara nyingi. Nikaenda Posta lengo nitume kwa EMS na inahitajika J3.
Cha kushangaza nikaambiwa itatumwa J3...
Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo.
Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
Habari za Asubuhi
Yaani sijui Posta huwa wanakwama wapi nimeagiza mzigo toka Ali Express umefika Dar tarehe 25 ukaondoka Dar siku hiyo hiyo ukafika Arusha tarehe 26 ila mpaka leo Jumatatu hakuna msg nimeenda hapo kwao wanasema bado hawajapewa tatizo liko wapi mbona dar siku hiyo wanatoa mizigo...
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anazindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta, Jijini Dar es Salaam.
Vidokezo:
1. Tutaanza na vituo 10 nchi nzima. Tumeanza na Dsm na Dodoma.
2. Vitapunguza muda wa kupata huduma kutoka wiki 4 hadi siku 3.
---
MAJALIWA AZITAKA TAASISI ZA...
"Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja.
Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile
Nimeona...
📍 Taarifa📍
Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.