Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?
Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022
Shirika la Posta linaendelea na kikao maalum cha tathimini ya utendaji Kazi kwa Shirika la Posta...
Asante sana wana jukwaa wenzangu bado tunatumia fursa hii ya Uhuru wa kujieleza kulingana na katiba yetu kwa kuzingatia maadili na mipaka ya Democracy.
Leo napenda kujadili au kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya shirika letu la Posta
Kabla ya kuendelea nitoe pongezi ya dhati kwa Serikali...
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA.
Mwandishi wetu, Dar es salaam
Leo 29 Julai, 2021.
Shirika la Posta Tanzania likiongozwa na Kaimu Postamasta Mkuu Ndugu Macrice Daniel Mbodo limefanya Mkutano na Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania lengo ni kuwaeleza...
DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa tija, bidii, weledi na uwajibikaji wa Pamoja ili kuleta matokeo mazuri kwa Shirika na maslahi mapana...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainabu Chaula, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazotoa huduma ya kiserikali kwa jamii.
Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 6 Julai 2021, huku kikihudhuriwa na Wakuu wa...
Kwanza..ni kuanzisha shindano la urafiki mwema baina ya wanafunzi la kuandika na kutumiana barua kati ya shule moja na nyingine ndani ya mkoa kwa kutumia bahasha na stempu zilizo na logo au chapa ya kampuni zitazouzwa kwa wanafunzi hao kwa bei rahisi.hapo ni mwanzo wa kujitangaza.
Pili...
Habari waungwana!
Naomba kuelezea kwa ufupi juu ya hujuma/ uhuni unaofanywa na wahudumu wa posta baadhi ya matawi.
- Wahudumu wanawalazimisha watu watume barua kwa njia ya EMS. Ninaposema kulazimisha namaanisha hawakushikii bunduki bali wanakwambia hii ndio njia ya haraka, wakikuona unajua...
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhakikisha wanasimamia na kukagua mabasi yote yanayosafirisha vipeto, bahasha na vifurushi bila ya kuwa na leseni kutoka Mamlaka hiyo na kuwataka wanaofanya hivyo kuacha...