Wazee wetu waliolitumikia shirika la reli Tanzania kwa jasho na damu asilimia kubwa kwa sasa wamepoteza maisha na wengine wako hoi vitandani na ama wako hoi kimaisha! Serikali kupitia shirika la reli TRC wanatangaza mafanikio ya SGR na kununua vichwa vipya vya train za kisasa na kujenga reli...
😂😂😂😂 hii ya kuandika barua imeniacha hoi jamani loooh!
Soma: Shirika la Reli Tanzania (TRC) laomba radhi kutokana na kuchelewa kwa safari kulikosababishwa na changamoto zilizo nje ya uwezo wao
Treni ya Mwendokasi inayofanya safari zake Dar es salaam - Dodoma, ilisimama kwa saa kadhaa maeneo ya Ngerengere usiku wa kuamkia leo September 10,2024 na baadhi abiria wakajirekodi video wakionesha kuwa wamesimama katika eneo hilo.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kwa abiria...
TAARIFA KWA UMMA
HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE
Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa...
Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuimarisha Mashirika yake matatu, TRC, Air Tanzania, POSTA, Wananchi tunasubiri TTCL na BRT.
Hongera sana Serikali ya Tanzania kwa kufanikiwa kurejesha heshima ya nchi iliyokuwa imepotea kwa muda mrefu mmejitahidi sana.
Miakaka ya nyuma hatukuwa na...
🛑ZIARA YA UVCCM SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC)
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiongoza Mwenyekiti Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamefika kituo Cha reli ya kisasa (SGR) cha Dar es salaam na kupokelewa na Mkurugenzi wa shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.