πZIARA YA UVCCM SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC)
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiongoza Mwenyekiti Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamefika kituo Cha reli ya kisasa (SGR) cha Dar es salaam na kupokelewa na Mkurugenzi wa shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa...