shirika la teli tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

    Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa. Shirika hili za reli linatumia magari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…