shirika la umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  2. Waufukweni

    Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje

    Wakuu Rais Samia akiongea kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo Januari 28,2025 Jijini Dar es salaam. "Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia...
  3. T

    Afisa wa shirika la umeme Kenya akamatwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma ya rushwa ya Tsh Milion 5.7 ili kumuunganishia tena mteja umeme

    Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu. Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa Kampuni ya Umeme ya Kenya (KPLC) kwa tuhuma za kudai Ksh.300,000 ili kuunganisha tena umeme...
  4. D

    KERO Waziri Biteko, kwanini nguzo moja ya umeme ilipiwe Tsh 515,000/ wakati ni mali ya shirika? Huu unyanyasaji mpaka lini?

    Wakati unataka kuunganishiwa huduma ya umeme kama nyumba iko mbali kila nguzo moja ni sh. 515,000/, nguzo ni mali ya shirika, mwananchi ni mteja wa huduma ya umeme kwanini alipie nguzo? Huu ni uonevu mkubwa sana. Kwanini mwananchi anunue kitu ambacho si mali yake? Mlitegemea bila nguzo...
  5. A

    KERO Malalamiko kwa shirika la umeme Zanzibar (ZECO)

    Salaam, Kuna kero kubwa sana kwa shirika la umeme Zanzibar (Zeco) maeneo ya shamba hasa Nungwi, Paje, Jambiani, Kendwa nk umeme ni mdogo sana baadhi ya maeneo kiasi kwamba ni kama tunaishi zama za kale, umeme mdogo mpaka unazima kuna wakati mnaweza mkalala usiku mzima hakuna umeme sio kwamba...
  6. HONEST HATIBU

    SoC04 Futa machozi tuondoe gizani

    Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
Back
Top Bottom