shirika la umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Prof Kitila: Tuna Mashirika 304 lakini yaliyotoa Gawio ni 145. Jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh8.8 bil ni Dividend na 358 bil ni Michango!

    Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa. Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio...
  2. masopakyindi

    Mfanyabiashara kuongoza Shirika la Umma Rais Samia unaenda kusiko

    Nilipigwa butwaa, kama si kushangaa, mama Samia akiongea na wateule wa mashirika na nafasi mbali mbali za kiuongozi. Lililonishangaza, eti yule mpendwa wetu Maharage Chande, alipoenguliwa TANESCO na kupelekwa TTCL, "ikagundulika"(mind you baada ya uteuzi) kuwa ana biashara yake inayo gongana...
  3. Bushmaster

    SoC02 Serikali ianzishe Shirika la Umma la Usafirishaji wa abiria kwa njia ya barabara mikoani

    Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
  4. mwanamwana

    Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL. ===== Polisi Dodoma...
  5. goroko77

    Nimekutana na aliyewahi kuwa boss wangu katika interview za shirika la umma

    Wakuu habari za mchana Leo nimekumbuka kisa kimoja hivi wakati wa kutafuta ajira za Serikali ilikuwa mwaka 2019 pale Tanga mjini katika interview za TANESCO Kanda ya Kaskazini . Mimi niliweza kufaulu mtihani wa written ila boss wangu alifeli vibaya sana ule mtihani na kupelekea yeye kushindwa...
Back
Top Bottom