Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) watembelea na kufanya ukaguzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 5, 2024.
Viongozi hao wapo nchini kwa takriban siku mbili kuanzia Oktoba 5 kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa viwanja mbalimbali vitakavyotumika kwenye mashindano ya...
Habari ndugu zangu, ujue dunia inaenda kasi sana.
Ni muda mrefu taifa letu limekuwa linalililia uwakilishi wa vilabu vyetu kimataifa.
Hatimaye Mungu amekisikia kilio cha watanzania baada ya muda mrefu. Hii picha hapo chini nitawezaje kuwaeleza kwamba YANGA waliweza kuwa kwenye picha hii?
Ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.