Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT).
Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
Carola Daniel A. Kinasha ni mwanamuziki wa Tanzania anayefanya muziki wa Asili na akichanganya na usasa, Mwanamama Carola alizaliwa miaka ya 60 katika kijiji cha Longido.
Alianza kujishughulisha na muziki mnamo miaka ya 80 rasmi ikiwa ni mwaka 1988, akijifunza zaidi kupiga gitaa.
Carola...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, leo Jumanne Machi 22, 2022 amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kulitaka Barasa la Sanaa Tanzania (BASATA) kuwaita viongozi wa Shiriko la Muziki Tanzania kuhusu mgogoro unaoendelea wa Steven Nyerere kuteuliwa kuwa msemaji kisha...
Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo.
Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo.
Video: Global TV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.