USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC.
Kwa mantiki hii, utani wa jadi wa timu zetu hizi mbili nchini, mara nyingi ni wenye kuumiza upande mmoja au mwingine...