Shirikisho la Wahasibu la Afrika (PAFA) lilifanya Mkutano Mkuu wa Mwaka huko Catonou, Benin Ijumaa tarehe 18 Juni 2021. Kati ya dondoo zilizojadiliwa ilikuwa ni kuteua Bodi mpya ya PAFA. Tanzania ikiwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, CPA. Pius Maneno, iliteuliwa katika Bodi ya PAFA kwa...